"..Ni Dhima yetu kuwawezesha Vijana kuwa na Mustakabali Mzuri wa Maisha yao na Ulimwengu wa sasa na badaye.."
Shule ya Sekondari ya Nyamahanga Mission, tunakuza Udadisi, kuhamasisha Ubunifu, Kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya Raia wanaowajibika Duniani. Mazingira yetu ni bora ya kujifunzia, Walimu wenye uzoefu na Vifaa vya kisasa.
THE FREE PENTECOSTAL CHURCH OF TANZANIA(FPCT)
SHULE YA SEKONDARI NYAMAHANGA MISSION
S.L.P 25, BIHARAMULO - KAGERA.
TANZANIA - EAST AFRICA
Barua Pepe: nyamahangamission@gmail.com
Simu +255756526614/0764801731